"Kitafutaji cha vituo vya TV" "Kitafutaji cha Vituo vya TV cha USB" "Washa" "Zima" "Tafadhali subiri ili shughuli imalizike" "Chagua chanzo cha kituo" "Hakuna Mawimbi" "Imeshindwa kupata kituo cha %s" "Imeshindwa kupata kituo" "Programu ya kitafutaji cha vituo cha USB ilisasishwa hivi majuzi. Tafadhali tafuta vituo tena." "Washa sauti ya mzunguko katika mipangilio ya mfumo wa sauti ili uruhusu sauti" "Kuweka mipangilio ya kitafutaji cha vituo" "Kuweka mipangilio ya kitafutaji cha vituo vya TV" "Kuweka mipangilio ya kitafutaji cha vituo cha USB" "Hakikisha TV yako imeunganishwa kwenye chanzo cha TV.\n\nIkiwa unatumia antena ya hewani, rekebisha jinsi ilivyowekwa au mwelekeo wake. Ili kupata matokeo bora zaidi, ipandishe juu na uiweke karibu na dirisha." "Thibitisha kuwa kitafutaji cha vituo cha USB kimechomekwa katika chanzo cha umeme na kuunganishwa katika chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, rekebisha mkao wake au kule inakoelekea. Kwa matokeo bora zaidi, iweke juu , karibu na dirisha." "Endelea" "Si sasa" "Ungependa kuweka mipangilio ya vituo upya?" "Hatua hii itaondoa vituo vilivyopatikana kwenye kitafutaji cha vituo vya TV na kutafuta vituo vipya tena.\n\nHakikisha TV yako imeunganishwa kwenye chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nIkiwa unatumia antena ya hewani, rekebisha jinsi ilivyowekwa au mwelekeo wake. Ili kupata matokeo bora zaidi, ipandishe juu na uiweke karibu na dirisha kisha utafute tena." "Hatua hii itaondoa vituo vilivyopatikana kwenye kitafutaji cha vituo cha USB na kutafuta vituo tena. \n\nThibitisha kuwa kitafutaji cha vituo cha USB kimechomekwa kwenye chanzo cha umeme na kuunganishwa katika chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, rekebisha mkao wake au kule inakoelekea. Kwa matokeo bora zaidi, iweke juu, karibu na dirisha." "Endelea" "Ghairi" "Chagua aina ya muunganisho" "Chagua Antena kama unatumia antena ya nje iliyounganishwa kwenye kitafuta vituo. Chagua Kebo kama vituo vyako vinapeperushwa na mtoa huduma za vifaa vinavyotumia kebo. Kama huna uhakika, aina zote zitatafutwa na huenda utafutaji ukachukua muda mrefu." "Antena" "Kebo" "Sina uhakika" "Kusanidi pekee" "Kuweka mipangilio ya kitafutaji cha vituo vya TV" "Kuweka mipangilio ya kitafutaji cha vituo cha USB" "Shughuli hii inaweza kuchukua dakika kadhaa" "Kitafuta vituo hakipatikani kwa sasa au tayari kinatumiwa kurekodi." Vituo %1$d vimepatikana Kituo %1$d kimepatikana "SIMAMISHA UTAFUTAJI WA VITUO" Vituo %1$d vimepatikana Kituo %1$d kimepatikana Sadakta! Vituo %1$d vimepatikana baada ya kutafuta vituo. Kama hujaridhika, jaribu kurekebisha mkao wa antena kisha utafute tena. Sadakta! Kituo %1$d kimepatikana baada ya kutafuta vituo. Kama hujaridhika, jaribu kurekebisha mkao wa antena kisha utafute tena. "Nimemaliza" "Tafuta tena" "Hakuna Vituo vilivyopatikana" "Hakuna vituo vilivyopatikana baada ya kutafuta. Hakikisha TV yako imeunganishwa kwenye chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nIkiwa unatumia antena ya hewani, rekebisha jinsi ilivyowekwa au mwelekeo wake. Ili kupata matokeo bora zaidi, ipandishe juu na uiweke karibu na dirisha kisha utafute tena." "Utafutaji haukupata vituo vyovyote. Thibitisha kuwa kitafutaji cha vituo cha USB kimechomekwa kwenye chanzo cha umeme na kuunganishwa katika chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, rekebisha mkao wake au kule inakoelekea. Kwa matokeo bora zaidi, iweke juu, karibu na dirisha na utafute tena." "Tafuta tena" "Nimemaliza" "Tafuta vituo vya TV" "Kuweka mipangilio ya kitafutaji cha vituo vya TV" "Kuweka mipangilio ya Kitafutaji cha Vituo cha USB" "Umeondoa kichagua programu cha USB cha TV."